EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, January 31, 2015

NAPE AANZA AMSHA-AMSHA YA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA

 Wananchi wakiwa katika shamrashamra za kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye jana kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Ruvuma mjini Songea jana, alipowasli kwa ajili ya kuanzisha amsha amsha ya Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM ambayo inafanyika Jumapili hii, Kitaifa mjini Songea kwa kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
 Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emaanuel John Nchimbi akiwasili kwenye Ofisi hiyo ya CCM mkoa wa Ruvuma kumpokea Nape.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili mjini Songea.
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili mjini Songea.
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili mjini Songea.
 Vijana wakiwa wameacha shughuli zao kumshangilia Nape alipokuwa akipita mitaani mjini Songea wakati akienda kufungua mashina ya wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutnao wa hadhara.
 Mwanamke akihanikiza kwa vigelegele kumshangilia Napa wakati wakipita kwenye moja ya mitaa maarufu ya mjini Songea wakati akienda kufungua matawi ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara.
 Kina Mama wakimshangilia Nape wakati akipita kwenye mita hiyo.
 Nape akiwashukuru wananchi waliokuwa wakimshangilia wakati wakipita kwenye mitaa hiyo.
 Baadhi ya viongozi wakimsubiri kumlaki Nape kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Songea mjini jana.
 Nape akisalimiana na viongozi kwenye Ofisi hiyo ya CCM wilaya ya Songe mjini.
 Nape akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM Songea mjini jana.
 Nape akikata utepe kuzindiuashina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM katika Stendi ya mjini Songea.
 Nape akipandisha bendera ya CCM kuzindua tawi hilo la CCM kwenye Stendi ya mabasi mjni Songea.
 Nape akimsalimia Mjumbe wa Shina namba 12, Margareth Mtivila,  Songea mjini.
 Nape akipandisha bendera kuzindua shina la wakereketwa wajasiliamali wa CCM Liziboni mjini Songea.
 Ofisi ya CCM iliyozaa shina hilo la wakereketwa ilizinduliwa na Paul Sozigwa.
 Nape akimkabidhi kadi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Hadija Nyoni, baada ya kuzindua shina hilo. Jumla ya Vijana 89 walikabidhiwa kadi hizo.
 Nape akizindua tawi la CCM Liziboni.
 Nape akizindua Mradi wa Ujenzi wa mabanda ya Biashara Kata ya Lisiboni.
 Nape akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kuzindua ujenzi wa mradi wa vibanda hivyo vya Biashara, Liziboni.
 Nape akiingia kwenye jengo la Ofisi ya CCM tawi la Mji Mwema, wilaya ya Songea mjini.
 Nape akipaka rangi kwenye Ofisi hiyo ya CCM tawi la Mjimwema.
 Nape akiwa katika picha ya pamoja na vijana wajasiriamali wa mradi wa kufuga kuku Mjimwema.
 Nape akifungua shina la Wajasiriamali wa CCM Mjini Mwema.
 Nape akikagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Kata ya Ruwiko.
 Nape akitoa pole kwa familia ya askari wa Magereza, wakati wa maziko ya askari huyo katika kata ya Ruwilo, wilaya ya Songea  mjini.
 Nape akitazama picha ya askari huyo ambaye amefariki kwa ajali.
 Nape akiwapa pole ndugu wa Marehemu huyo.
 Nape akizindua shina la Wakereketwa wa CCM, tawi la Chuo Kikuu cha St. Joseph Songea mjini.
 Bibi Riziki Ngonyani (92) wa mjini akishangilia wakati wa uzinduzi wa shina hilo la St. Joseph.
Nape akiagana na baadhi ya viongozi wa CCM shina la Chuo Kikuu cha St. Joseph mjini Songea.
(Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate